Msimu ujao Yanga tutaifunga 10-HAJI MANARA
Msimu ujao Yanga Msimu wa soka Tanzania bara….Stori zaidi.
Msimu ujao Yanga Msimu wa soka Tanzania bara….Stori zaidi.
Hizi ndio timu bora 10 katika mechi 106 zilizocheza kwa misimu mitatu. Lakini kumbuka, kuna timu mbili katika timu hizi bora msimu ujao hatutakuwanazo katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Klabu ya Yanga inaendelea na usajili wake wa….Stori zaidi.
Alimaliza kiungo huyo ambae kuna tetesi msimu ukimalizika huenda akatimikia nchini Estonia katika majaribio.
Kumekuwa na mgogoro kati ya uongozi wa Yanga….Stori zaidi.
Simba inaendelea na usajili kwa ajili ya kujiimalisha….Stori zaidi.
Mechi ya mwisho ya ligi kuu Simba walikuwa….Stori zaidi.
Vandebroeck kukatwa mwisho wa msimu na nafasi yake akitajwa kuchuliwa na Florentine Ibenge, ishu ni stori mpya ya kocha msaidizi pamoja na meneja wa timu.
Tovuti ya Kandanda.co.tz kama ilivyo ada kwa tovuti hiyo kusheherekea na Galacha wa mabao kila mwezi.
Baada ya msimu kumalizika na kuibuka Galacha wa mabao kwa mabao yake 23 msimu huo wa 2018/2019 Meddie Kagere alikabidhiwa tuzo yake ya ufungaji bora na tovuti ya Kandanda.co.tz .