Kichuya ‘atafia’ kwenye Benchi – Mtemi Ramadhan
Nafasi yake ni finyu Sana kwa sababu eneo ambalo anacheza ni eneo ambalo linawachezaji wengi wazuri .
Nafasi yake ni finyu Sana kwa sababu eneo ambalo anacheza ni eneo ambalo linawachezaji wengi wazuri .
Katika michezo ya leo ya raundi ya 22 Simba, Azam fc na Yanga zote zimeshuka dimbani leo.
Ikimkosa mshambuliaji wao kiongozi Paul Nonga “Baba Jackiee” aliekwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
Hizi ni mechi za leo na kesho za mzunguko wa pili mzunguko wa 21. Kandanda tumekuwekea utabiri wetu wa kila mechi hapo chini. Unaweza kutupa na wewe pia
Mara ya mwisho kucheza na Mtibwa Sugar ilikuwa siku ambayo kulitokea sintofahamu kwenye klabu ya Simba baada ya kufungwa na Mtibwa Sugar kwenye michuano na Mapinduzi na Mohammed Dewji kutaka kujivua nafasi ya uenyekiti wa bodi ya Simba.
Kelele za mashabiki wa Simba kumtaka Patrick Aussems hazikuishia kwenye uwanja wa uhuru tu pale jana , inavyoonekana zimeenda mbali zaidi mpaka kwenye mitandao ya kijamii.
Moja ya kelele ambazo kwa sasa zinapigwa na mashabiki wa Simba ni wao kutomtaka kocha wao mkuu wa sasa.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikuwa dakika nzuri sana kwa Polisi Tanzania . Dakika ambazo ziliwapa nguvu ya kuongoza kwa goli moja kwa bila huku wakikosa nafasi nyingi za wazi.
Walianza wao kufunga goli kipindi cha kwanza , goli ambalo liliwapa nguvu kubwa sana ya kutawala mchezo wa jana kwa dakika nyingi , Lakini dakika 5 za mwishoni zilileta maumivu na machozi.
Je makosa ya kusababisha goli katika mchezo ule ndio yamemfanya kukosa nafasi katika kikosi cha Wekundu hao?