Kwanini makipa watano katika kikosi cha Stars?
Kikosi cha Timu ya taifa kipo nchini Misri na wachezaji 32, gumzo pia limekuwa kwanini kocha Aminike ameita makipa wengi
Kikosi cha Timu ya taifa kipo nchini Misri na wachezaji 32, gumzo pia limekuwa kwanini kocha Aminike ameita makipa wengi
Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON.
Leo baada ya mazoezi kocha mkuu Emmanuel Amunike atatangaza rasmi habari hizi, tutawaleteaa zaidi.
Kwa kusajiliwa na Blackpool anakua mchezaji wakwanza kusainiwa na klabu hiyo kwa msimu huu wa usajili.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza….Stori zaidi.
Kiungo John Obi Mikel amethibitisha kwamba ataitumikia timu….Stori zaidi.
Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya….Stori zaidi.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Soka….Stori zaidi.
Miraj Athuman, jezi namba 7 miongoni mwa namba maarufu duniani, ndiyo anayoivaa akiwa katika klabu yake ya Lipuli Fc.
Tanzania ipo kundi C na Timu za Algeria, Senegal na Kenya.Itaanza kibarua chake kwa kutupa karata dhidi ya Senegal.