John Raphael Bocco Shujaa asiyepewa heshima yake.
Unaweza sema watu wanachukua mabaya zaidi kuliko mazuri anayoyafanya.
Unaweza sema watu wanachukua mabaya zaidi kuliko mazuri anayoyafanya.
Kina Iddi Pazi, Peter Tino na Athumani Chama walikuepo Taifa kuwapa maneno ya ushindi kina Msuva, Samata, Yondani na wenzie.
Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya….Stori zaidi.
Klabu ya soka ya Mbao ya jijini Mwanza….Stori zaidi.
Nyoni kuna funzo katupa jana kwa kiwango chake kazi kwetu kuamua kujifunza au kujifanya hatujaona kitu tukumbuke shukakumekucha.
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji 10 wanaocheza soka la kulipwa huku kukiwa na sura mpya kutoka klabu ya Mbao fc ya Mwanza.
Kwa mfano kukawa na kampeni ya kujenga Taifa Stars imara ijayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa Taifa Stars ijayo imara itapatikana kwa kujenga kizazi imara.
Inawezekana Mwinyi Zahera hajui matamanio yetu , ndiyo maana anazidi kumbania Beno Kakolanya, ugomvi wao sisi nyasi ndiyo tunaoumia.
Wakati huohuo CAFimethibitisha kuwa Droo yakupanga makundi kwa timu zitakazoshiriki itapangwa April 12 mwaka.