MashindanoAmunike aita kikosi cha Stars maproo 10 wajumuishwaThomas Mselemu5 years agoKikosi hicho kinajumuisha wachezaji 10 wanaocheza soka la kulipwa huku kukiwa na sura mpya kutoka klabu ya Mbao fc ya Mwanza.
BlogTufikirie pia kuunda kamati ya kujenga Taifa Stars ijayo.Martin Kiyumbi5 years agoKwa mfano kukawa na kampeni ya kujenga Taifa Stars imara ijayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa Taifa Stars ijayo imara itapatikana kwa kujenga kizazi imara.
Ligi KuuHii vita ya Kakolanya na Zahera, inatuumiza sisiMartin Kiyumbi5 years agoInawezekana Mwinyi Zahera hajui matamanio yetu , ndiyo maana anazidi kumbania Beno Kakolanya, ugomvi wao sisi nyasi ndiyo tunaoumia.
Shirikisho AfrikaMichuano ya AFCON yasogezwa mbele kupisha Ramadhan.Issack John5 years agoWakati huohuo CAFimethibitisha kuwa Droo yakupanga makundi kwa timu zitakazoshiriki itapangwa April 12 mwaka.
MashindanoMisri kuandaa AFCON 2019.Issack John5 years agoMisri iliomba uwenyeji sambasamba na Afrika Kusini mara tu baada ya Cameroon kupokonywa
BlogKama soka ni hesabu, Stars itaenda Cameroon.Baraka Mbolembole5 years agoNILIKUWA na imani kubwa kwa Lesotho kupata ushindi dhidi ya Tanzania katika mchezo wa tano wa kundi la mwisho kuwania...
BlogKwanini Tanzania ilifungwa dhidi ya Lesotho?Martin Kiyumbi5 years agoJana timu ya taifa ya Tanzania ilikuwa uwanjani kutafuta alama tatu ambazo zingeiwezesha kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya...
BlogTunaukimbia ukweli kwa kujificha kwenye kichaka cha kumlaumu Amunike!Martin Kiyumbi5 years agoTarehe 22/08/2017 niliamka na mawazo sana, mawazo ambayo yalitokana na mimi kuona furaha ambayo walikuwa nayo Watanzania baada ya kutangazwa...
BlogUganda haitaibeba Stars zaidi ya kuifundisha.Baraka Mbolembole5 years agoGOLI la kichwa la mshambulizi, Patrick Henry dakika 11 kabla ya kumalizika kwa mchezo limeipa Uganda ´Korongo´ tiketi ya kufuzu...
BlogStars yapaa kwenda Africa Kusini!Thomas Mselemu5 years agoTimu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo alfajiri kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka Kambi kujiandaa na mchezo wake...