Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Czech afariki dunia kwa ajali.
Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Czech Josef Sural….Stori zaidi.
Mshambuliaji wa kimataifa raia wa Czech Josef Sural….Stori zaidi.
Deni hili kubwa kwa mshambuliaji wa Lipuli Fc, Paul Nonga, limewekwa katika moja ya mtaa mjini Shinyanga.
Niyonzima ameonekana kuwa na kiwango kizuri baada ya kuwa anaanza katika kikosi cha Simba.
Hawa mashabiki wanaojitolea kwenye kila hali ndiyo wana pesa zetu. Yajengwe mazingira mazuri ya kuwashawishi watoe pesa zao mfuƙoni kwa wingi.
Pogba amechaguliwa mchezajipekee katika kikosi cha wachezaji bora wa mwaka wa PFA kwa msimu huu
Tanzania ipo kundi C na Timu za Algeria, Senegal na Kenya.Itaanza kibarua chake kwa kutupa karata dhidi ya Senegal.
Kwa msimu huu pekee John Lema amecheza zaidi ya michezo 12 akifunga mabao mawili licha ya nafasi ya kiungo mshambuliaji. #NaniAtavaaJeziYaBlue
Ligi Kuu Afrika Kusini utaratibu wa kushuka daraja huwa ni timu inayoburuza mkia ndio hushuka moja kwa moja mpaka daraja la kwanza na anaefwatia atakaemaliza Ligi katika nafasi ya 15 hucheza “Playoff”.
Masoud Djuma alikuwa kipenzi kikubwa sana katika kikosi cha Simba kabla ya kuachana na Simba