Bado tuna swali kuhusu upana wa kikosi cha Simba?
Mwanzoni mwa msimu kulikuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na upana wa kikosi cha Simba. Mjadala ambao kwa kiasi kikubwa ulianzishwa na Haji Manara.
Mwanzoni mwa msimu kulikuwa na mjadala mkubwa sana kuhusiana na upana wa kikosi cha Simba. Mjadala ambao kwa kiasi kikubwa ulianzishwa na Haji Manara.
Amunike aliulizwa anamaoni gani kwa uwezekano wa Tanzania kupangwa na timu yake ya taifa ya Nigeria.
Tumefikiria kujenga Taifa Stars imara ya kutuwezesha kufuzu tena ?.
Agizo la makamu wa Rais wa Dubai, Sheik Mohammed ni vyema kama litakuwa agizo kwa dunia nzima ikiwemo Tanzania. Unaweza ukadhani ni kitu kidogo lakini madhara yake ni
Je wewe kwa mtazamo wako, unadhani Simon Msuva sasa ni muda mwafaka wa kusogea ng’ambo zaidi?
Kandanda Chat Leo inampa nafasi msomaji wetu kutupa maoni yake kwenye mada moto za siku. Bofya kiungo kuchangia..
Unakikumbuka kikosi cha timu ya Tanzania kilichoenda AFCON mwaka 1980 kule Nigeria? Hiki hapa!
Kakolanya atakua katika majuto makubwa kwake na familia yake kwa kuigomea Yanga akishinikiza apewe stahiki zake lakini akikosa nafasi adimu na kuandika historia.
Unaweza sema watu wanachukua mabaya zaidi kuliko mazuri anayoyafanya.
Ndiyo maana mwisho wa siku wachezaji wetu walipata nguvu ya kupigana kwa sababu ya mashabiki ambao walikuwa jukwaani, na Uganda walikuwa wameingiwa na hofu.