Malinzi: Mbao vs Alliance ni dabi ya pili kwa ukubwa TPL.
Msemaji wa klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’….Stori zaidi.
Msemaji wa klabu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’….Stori zaidi.
Mashabiki wa Timu ya soka ya Yanga kutoka Tawi la Meatu lililopo wilayani Meatu Mkoani Simiyu wamesema licha ya baadhi ya Mashabiki kutoka timu pinzani kuwabeza kuwa ni ombaomba wanaamini kikosi hicho kilichopo chini ya kocha raia wa kongo Mwinyi Zahera kitachukua ubingwa wa ligi kuu bara msimu wa Mwaka 2018/19.
Mkude pia ametajwa na tovuti hii kuwania uchezaji Bora wa 2018. Unaweza tazama na kupiga kura.
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema shida….Stori zaidi.
Uongozi wa klabu ya soka ya Stand United….Stori zaidi.
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekubali ombi….Stori zaidi.
Ulimwengu wa mpira umebadilika sana. Umekuwa ulimwengu ambao unatumia sayansi kubwa sana ndani ya mpira.
Kocha wa timu ya soka ya Mbeya City ‘Wanakomakumwanya’ Ramadhan Nswanzurimo amesema hatoangalia rekodi ama michezo iliyopita watakapokwenda kucheza na Yanga siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Afisa Habari wa klabu ya soka ya Yanga Dismas Ten amesema maandalizi kuelekea katika mchezo wao wa Ligi dhidi ya Mbeya City yanaendelea vizuri na kwamba Kati ya wachezaji 20 ambao wamesafiri na timu hakuna ambaye anamajeraha yatakayomuweka nje ya mchezo huo.
“…mpira ukiwa upande mwingine, labda tuseme upande wa mashariki kwenye “high pressure” yeye anakuwa ni mwepesi sana kukaa kwenye “low pressure” ambapo wachezaji wa timu pinzani hawapo “