Sevilla: Tunakuja Tanzania
Sevilla ina nyota kama Ben Yeder, Jesus Navas na Ever Banega wanaotamba Laliga.
Sevilla ina nyota kama Ben Yeder, Jesus Navas na Ever Banega wanaotamba Laliga.
Goli likifungwa na likazua utata, hasa kabla ya kufungwa, VAR hutumika kujua kama kuna usahihi wa goli hilo hasa kwa kutazama kama ni Offside au yalitendeka madhambi (Man City vs Tottenham)
Serengeti Boys ilitolewa kwenye michuano ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17 ya Afrika, hivo kama mwenyeji aliaga rasmi kwenye michuano hii.
Jarida maalumu la kuripoti michuano ya Afrika kwa….Stori zaidi.
Ndoto ya Manchester City ya kutwaa mataji manne….Stori zaidi.
Simba walitolewa katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali, baada ya kufungwa bao 4-1 na TP Mazembe
Juhudi walizofanya Simba zisipuuzwe hata kidogo!..changamoto ni malengo tu!.
Haya ni maoni ya Mwanakandanda, tupe maoni yako pia katika sehemu ya maoni.
Makundi ya AFCON 2019 yameshapangwa na Tanzania ikitupwa kundi C lenye Senegali, Algeria na Kenya
Simba inahitaji kupata sare ya magoli au ushindi wa aina yoyote kwenye mechi ya marudiano .