Wachezaji Simba waondoka, mastar kibao wameachwa.
Baadhi ya wachezaji muhimu wakiwa wamebaki Dar kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo majeruhi na adhabu.
Baadhi ya wachezaji muhimu wakiwa wamebaki Dar kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo majeruhi na adhabu.
Idadi kubwa ya magoli ligi kuu Tanzania bara anayo yeye, yeye ndiye mfungaji bora wa muda wote, anagoli zaidi ya 100. Mchezaji aliyezifunga goli nyingi timu za Simba na Yanga rekodi pia anayo yeye. Ni mchezaji bora wa msimu uliopita. Na ni kepteni wa timu kubwa kama Simba. Bado unamchukulia poa tu?.
Tabiri matokeo kwa kuandika katika sehemu ya maoni ndani ya tovuti yetu tu ya mechi hiii. Mtu wa kwanza kuwa sahihi kabla ya mchezo kuanza atajipatia tiketi ya VIP B mechi ya Simba SC vs AS V.Club na Jezi ya Klabu ya Simba.
Simba inakwenda Algeria kwa tahadhari kubwa licha ya kuifunga JS Souara mabao 3 kwa sifuri jijini Dar es salaam .
Ugumu wa mechi ya Simba vs As Club Vita utachagizwa na matokeo ya mechi za awali yaani Simba dhidi ya JS Saoura na AS Vita dhidi ya Al ahly. Jumla AS Club Vita wanaweza kupata alama 1-3 katika michezo yake miwili iliyosalia na mwisho wa siku kuwa na jumla ya alama 5-7.
Kocha wa timu ya Namungo Bakari Malima kutoka….Stori zaidi.
Nawaomba msiuite uwanja huu kwa mchina, uwanja huu hatukupewa zawadi na China, usijenge “concept” kwa watoto kuwa tulipewa zawadi, unaitukana kodi ya Mtanzania”
Kuna wakati mwingine muda huwa ni mwamuzi mzuri , tunatakiwa kuvumilia na kusubiri muda utoe hukumu sahihi.
Simba yupo uwanjani leo dhidi ya Al Ahly
Hata nje ya uwanja mashabiki watakuwa na nguvu ya kununua bidhaa za vilabu vyao kwa kuchagizwa na falsafa hii ya YES WE CAN.