Simba kuishusha Al-Ahly nchini.
Taarifa kutoka kwa klabu ya Simba imeeleza Al-Ahly wamekubali kushirikiana na Simba katika kujenga kituo cha kukuzia vijana cha soka, pia Alhly kuja nchini kucheza mchezo wa Kirafiki na Simbasc.
Taarifa kutoka kwa klabu ya Simba imeeleza Al-Ahly wamekubali kushirikiana na Simba katika kujenga kituo cha kukuzia vijana cha soka, pia Alhly kuja nchini kucheza mchezo wa Kirafiki na Simbasc.
Madam CEO toka sasa kwenye Box lako la U Director maana wakati ni huu na SISI WASWAHILI TUNASEMA USIPOUANIKA UTAULA MBICHI
Yanga wenyewe wanakwambia “Made in Congo”.
Nahodha John Bocco amewaita mashabiki wa Simba huku pia akiahidi burudani yakutosha na mabao mengi pia.
Yanga inaanza kupata ushindi leo
Bernard Morrison mpaka sasa inaonekana anadaiwa na Simba
Kwa kuzingatia Majukumu haya mawili, acha tumchimbe Gomez wa Simba ili kujua kama atakuwa amefanikiwa au amefeli ndani ya Msimu wake mmoja.
Uchambuzi huu tunayafanya ili kuzisaidia timu zetu kufika hatua za mbali zaidi klabu bingwa Afrika na hata kuchukua ubingwa.
Usajili wa Simba unaonekana kuwa ni wa kimikakati zaidi, hasa kwa kuzingatia ripoti ya mwalimu na madhaifu yaliyojitokeza katika kikosi kwa msimu ujao kuanzia kwenye ligi hadi klabu bingwa Afrika.
Klabu ya Simba inaweza kuwa nanafasi nzuri kutwaa tena tuzo hii msimu huu, lakini pia itatakiwa kuzingatia takwimu hizi.