Mechi 10 za Ubingwa wa Simba!
Unatoka kucheza na Azam FC mechi inayofuata ni dhidi ya Yanga. Swali kubwa ni namna ambavyo wao wangeweza kushinda mechi dhidi ya Azam FC huku wakiwa na presha ya homa ya mechi dhidi ya watani wao.
Unatoka kucheza na Azam FC mechi inayofuata ni dhidi ya Yanga. Swali kubwa ni namna ambavyo wao wangeweza kushinda mechi dhidi ya Azam FC huku wakiwa na presha ya homa ya mechi dhidi ya watani wao.
Ajib amepewa kazi maalum ya kusaidiana na Meddie Kagere katika eneo la ushambuliaji la Simba mbele ya Wajelajela Tanzania Prisons ambao wanasifika kwa soka la kutumia nguvu haswa.
Kwa sasa inaonekana Meddie Kagere ndiye mwenye nafasi….Stori zaidi.
kuamua kurefusha safari ya ubingwa na kusubiri mpaka mchezo wa Ndanda katika dimba la Nang’wanda Sijaona mkoani Mtwara.
Kuhusu hali ya kikosi kocha Sven amesema wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na wapo tayari kwa mchezo isipokuwa kiungo.
Wachezaji wawili nyota wa Simba na Yanga leo wamepokea hukumu zao kutoka Shirikisho la soka nchini TFF kutoka katika kamati ya nidhamu.
Kiungo huyo wa zamani wa Simba amesisitiza mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani ili kutoa sapoti kwa wachezaji.
Tunafahamu mechi zitakuwa ngumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu katika kipindi hiki ligi ikielekea ukingoni lakini.
, kama alipata kumuona labda kuna vitu alicopy kwake, kwa kile nilichokiona kwake jana akili yangu ilihama na kudhani Scholes amerejea kucheza soka.
Jezi ambayo imemfunika pia Sharaf Ali Shiboub , kiungo hodari na mahiri kutoka Sudan.