Kiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezaji
Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.
Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.
Hata yule Morrison akija Simba ni lazima aanze kwanza kugombania nafasi na wachezaji wengine.”
Yanga walistahili kupata ushindi katika mchezo ule huku pia akisema Yanga iliwasaidia sana kuingia kwenye mechi kama “underdog.
Simba pekee ndio wanaoshikilia rekodi hiyo ya “Comeback” ya nguvu mpaka sasa katika michuano hiyo.
Tuambie ni kwako anafaaa kua usajili bora namba moja katika dirisha dogo na nina aliekuvutia kati ya sajili hizi tano, tupe maoni maoni yako.
Kila mtu sasa anatamani aangalie hata marudio tu ya mechi zilizopita, huku mashabiki wa Liverpool wakilia pia ubingwa wao.
“Ndio ulikua mwaka wangu wa kwanza Simba mchezo wa kwanza tulishinda moja bila hapa Tanzania halafu tukaenda Misri.
Ama kwa hakika kurejea kwa Ligi baada ya kusimama kupisha ugonjwa wa Corona kitakua ni kipindi cha neema kwa Ndemla
Simba wameonyesha matamanio na kiungo huyo Mkongo huku msemaji wao Hajji Manara akikiri hadharani kuhusudu uwezo wake akisema ni moja ya “box to box midfielder.
Yanga imepata ushindi huo huku mashabiki wake wakicheza soka safi pia nakuweza kuidhibiti Simba kila eneo uwanjani.