Kagere afunikwa na Chirwa
Mzambia Obrey Chirwa ameandika rekodi usiku wa Julai….Stori zaidi.
Mzambia Obrey Chirwa ameandika rekodi usiku wa Julai….Stori zaidi.
Endapo atapoteza mchezo tena dhidi ya Yanga huenda ikakoleza safari yake yakutimuliwa na Simba na kuache rekodi mbovu miongoni mwa makocha waliopita Simba mbele ya Yanga.
huku pia nahodha Papy Kabamba akiwa ametoka kupona majeraha ya goti hivyo hakuna uhakika wa asilimia 100 kama atakuepo katika mchezo huo.
Kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Azam….Stori zaidi.
Kitu ambacho kinafurahisha ni Simba na Yanga kukutana….Stori zaidi.
Nusu fainali ya kombe la Azam Federation Cup….Stori zaidi.
Kapombe aliumizwa goti la mguu wa kulia kiungo Frank Domayo dakika za mwisho za mchezo tukio ambalo mwamuzi hakuliona.
Tuzitazame timu hizi tatu ambazo zinaonekana ndizo timu kubwa hapa nchini yani Azam FC , Simba na Yanga.
Baada ya sintofahamu kutokana na maamuzi mbalimbali ya marefa wetu hapa nchini TFF imeamua kuongeza idadi ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Federation Cup.
Kocha Sven amekuwa akiwatumia Said Ndemla, Gerson Fraga na Mzamiru Yassin katika eneo analocheza Mkude ingawa kwenye mechi ya leo huenda akaanzishwa