Mbrazil avunja rekodi ya Coastal Union
Kwa matokeo hayo sasa Coastal Union wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 30 huku Simba wakiendelea kubaki kileleni wakiwa na alama 47.
Kwa matokeo hayo sasa Coastal Union wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 30 huku Simba wakiendelea kubaki kileleni wakiwa na alama 47.
Jana kulichezwa mechi Kali Kati ya Simba na Namungo FC. Kabla ya mechi hiyo Namungo FC walikuwa hawajawahi kupoteza hata mechi moja kwenye mechi tatu za mwisho walizocheza ugenini.
Washambuliaji Reliants Lusajo na Blaise Bigirimana ndio tishio zaidi kwenye kikosi cha Namungo ambapo kwa pamoja msimu huu wamefunga zaidi ya magoli 10.
Baada ya kauli hiyo TFF ikaamua kuipa kamati ya maadili maagizo juu ya mlinda mlango huyo kinda.
Zimebaki asilimia 10 tu kwa Libya kuipiku Tanzania….Stori zaidi.
Msimu huu yuko hovyo kiasi, makali yake yamepungua, lakini kuna sababu tatu zinazofanya tumuone Kagere wa namna hii.
Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?
Samata mchezaji wa zamani wa African Lyon, Simba sc na TP Mazembe anakua Mtanzania wakwanza kucheza katika Ligii Kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL.
Klabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.
Simba wamewazidi tena kwa Mara ya pili kwenye dirisha hili dogo la usajili. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imekuwa ikiwazidi Yanga kwenye usajili dakika za mwisho.