Kagere akabidhiwa kiatu cha kandanda
Mtandao wa Kandanda leo umemkabidhi zawadi zake mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere, baada ya kuifungia klabu hiyo mabao sita (6) katika ligi ya Vodacom Tanzania bara mwezi Agosti-Septemba.
Mtandao wa Kandanda leo umemkabidhi zawadi zake mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere, baada ya kuifungia klabu hiyo mabao sita (6) katika ligi ya Vodacom Tanzania bara mwezi Agosti-Septemba.
Ukikutana nae mwambie asante kwa kukubali kuja Tanzania kwa kuja kwake, tumeona maana ya maneno ya Johan Cruffy, Asante sana Gerson Fraga Viera.
Wewe je mwanakandanda unaamini uwekezaji mkubwa katika mpira wa miguu sio chachu ya mafanikio? Soma hii kwanza…
Kuna maeneo muhimu ambayo Pascal Wawa aliyatimiza vizuri jana na kumfanya aonekane kama ni nyota wa mchezo wa jana.
Jamii ya watu wa mpira inabidi iwe inaangalia masuala ya wachezaji katika pande zote, sio uwezo tu..afya ni muhimu.
Kwa mara ya kwanza nilimuona Ibrahim kwenye uwanja wa Uhuru, zamani ukiitwa Taifa katika fainali ya Copa CocaCola kati ya Mjini Magharibi na Tabora.
Kwenye michuano ya msimu huu, Simba wameondoshwa kwenye hatua ya awali dhidi ya UD Songo ya Msumbiji kwa goli la ugenini
Baada ya kutua tu mitaa ya Msimbazi alikutana na wachezaji wenye majina makubwa kama Issa Rashid Baba Ubaya ambaye pia kipindi hicho alikuwa ni beki tegemeo wa U20, Huku Zimbwe akiwa tegemea U17, pia msimu huo huo Simba ilimsajili na Abdi Banda, yaani KAzi Kazi tu.
Simba imefunga mabao 139 katika ya 1,140 yote yaliyofungwa na timu za Ligi kuu msimu 2017/18 na 2018/19.
Baada ya kutolewa katika mashindano hayo ya kimataifa kwa sasa Simba imejipanga kuhakikisha inatetea taji lake la ligi kuu Tanzania bara, huku ikianza vizuri kwa ushindi wa goli 3-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kwanza wa ligi.