kwa dunia ni ya 91, na kwa Misri ni ya kwanza pia. AS Club Vita kwa Afrika ni ya 5, kwa kongo ni ya 2 na duniani ni ya 176. JS Saoura ni ya 53 kwa Afrika, ni ya 4 kwa Algeria na ni ya 644 kwa dunia. Wakati Simba ni ya 326 kwa Afrika, ya 1 kwa Tanzania na ni ya 1817 kwa dunia.
Hata nje ya uwanja mashabiki watakuwa na nguvu ya kununua bidhaa za vilabu vyao kwa kuchagizwa na falsafa hii ya YES WE CAN.
“Tunafanya mazoezi ya nguvu sana, tunawaweka sawa wachezaji kisaikolojia waamini kuwa maisha yao ni soka”
Al Alhly ndiyo mabingwa wa kihistoria wa kombe hili la ligi ya mabingwa barani Afrika. Kombe hili huwa wanalichukulia kwa maanani sana. Siyo rahisi kwao wao kukubali kupoteza nyumbani tena dhidi ya Simba.
Andika matokeo ya mechi hii ndani ya ukurasa huu kwa kwa kutumia akaunti ya Facebook ujishindie wewe na rafiki yako kwenda uwanja wa Taifa.
Shungu ni kocha msaidizi wa AS Club Vita pia alishawahi kuifundisha Yanga SC miaka ya 99 anasema kuwa, Simba ni timu nzuri lakini wanacheza mpira laini “Soft Football
Mtaani kuna picha yako inasambaa sana. Picha ambayo….Stori zaidi.
Mshahara anaoupata hata angekua mwanao ungemruhusu tuu aende.
Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kupitia mtandao….Stori zaidi.
kula viporo vyake vitatu, dhidi ya Mwadui, Azam na Lipuli na lolote linaweza likatokea, kwa jinsi ligi ilivyo ni sawa na familia ya Kambare, mtoto ndevu na baba ndevu, wote wababe.