Kikosi bora cha ligi kuu Tanzania 2017/2018.
1: Aishi Manula. Golikipa bora wa Tanzania kwa misimu miwili iliyopita, kuilinda milingoti mitatu ya Azam Fc kulimpa nafasi ƴya kuonesha uwezo wake. Uwezo ambao haukuwa na shaka kwenye mboni za macho ya wengi. Msimu huu analinda lango la msimbazi na katika mechi alizofanikiwa kucheza akiwa Simba amefanikiwa kupata clean...