Mkude mechi imemshinda, kocha amkomalia Chama!
Baada ya Jonas Mkude kuumia na kutoka nje nafasi yake ilichukuliwa na Ibrahim Ajib Migomba.
Baada ya Jonas Mkude kuumia na kutoka nje nafasi yake ilichukuliwa na Ibrahim Ajib Migomba.
Kupitia taarifa yake iliyotolewa na msemaji wake Cliford Marion Ndimbo imezitaka klabu zote kutokucheza mchezo wowote bila kutoa taarifa katika Shirikisho la Soka
Mchezo huo uliohudhuriwa na mashabiki wengi wa soka ulipigwa majira ya jioni huku ukishuhudiwa na vituko mbalimbali
kocha wa Simba akipanga kutumia wachezaji wake wote waliopo kambini kasoro wachezaji wawili tu.
Injinia amesema kuwa awali walikuwa wakifanya hivyo kwa mastaa ambao walikuwa wanawahitaji mwisho wa siku wanawahiwa njiani.
Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael amethibisha….Stori zaidi.
Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc….Stori zaidi.
Katika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Ni kweli amejieleza na kujitetea sana na kusema alikua anaulizwa maswali yenye mtego na kujikuta akiongea vitu vingi vya Simba lakini sio kwa kukusudia
Kuhusu wachezaji ambao hawajafika aliwataja ni Chama , Kahata na Shiboub ambapo amedai kuwa kwa sasa wanafanya kila wawezalo ili kuhakikisha wachezaji hao wanawasili.