Mapinduzi alijibadili mara tatu kimajukumu, kwanza alikuwa beki wa kulia, Yanga inaposhambuliwa, na haya ndiyo yaliyokuwa majukumu yake ya msingi, Jukumu la pili ni kucheza kama
Mpwa ngoja nikushike sikio kabla hujaanza kusoma, ukiwa mchezoni jua hadi kipa ana nafasi ya kufunga? Chukua hiyo kwanza, sasa makumi 9 yangeleta bao 3?
Katika ziara ya mechi za kirafiki zilizochezwa Mwanza , Molinga "Falcao" amefanikiwa kufunga magoli 3 katika mechi mbili alizocheza, goli lake la kwanza alilifunga dhidi ya Pamba fc na jana amefanikiwa kufunga magoli mawili dhidi ya Toto Afrika katika mchezo ambao Yanga wamefunga goli 3-