Uchambuzi yakinifu

Ligi Kuu

Mtazamo wangu Ligi Kuu- VPL.

Kulikuwa na dalili za Mbaraka Yusufu mshambuliaji wa Kagera Sugar kuibuka mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu wa 2016-17 lakini kadi nyekundu mechi ya juzi na Yanga SC inamtoa katika kinyang'anyiro hicho . Suala la nidhamu huenda likachafua mbio hizo. Namuona Haruna Niyonzima kurudi kwenye tuzo za mchezaji bora...
Blog

Alhaji Ismail Aden Rage, Hakuna mjinga mwenye ujinga mtupu.

Athuman Idd Chuji ni shujaa kweli kweli, Mwaka 2011 alipopata Matatizo na timu yake ya Yanga aliamua kuvuka barabara na kuelekea Simba SC na kusajili kwa ajili ya msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup, hili lilitokea japo mwaka 2008 Usajili wake wa Utata toka Simba kwenda Yanga ulizua sintofahamu...
1 247 248 249 250
Page 249 of 250
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.