ASFCKocha Pablo kushusha kikosi kamili.Mselemu Kandanda14/05/2022Pablo Franco kocha mkuu wa Simba amesema katika michuano hii kwa hatua iliyofikia hakuna timu raisi.
UhamishoSimba yatangaza rasmi kuachana na MorrisonMselemu Kandanda13/05/2022Kumekuwepo na tetesi zinazomuhusisha Benard Morrison kurejea klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliitumikia kabla ya kujiunga na Simba.
ASFCSimba: Pamba wazuri, tunaitaka Yanga.Mselemu Kandanda13/05/2022Tunajua kwamba kila mmoja analitazama hili kombe (kombe la FA) kutokana na umuhimu wa kuweza kuwa nalo na ni kombe ambalo lipo mikononi mwetu
Ligi KuuKwa Yanga hii ubingwa upo palepale!Mselemu Kandanda13/05/2022presha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
UhamishoSimba: Tunawaza kumsajili Simon Msuva!Mselemu Kandanda12/05/2022Kwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca
Ligi KuuKocha Simba: Kipindi cha pili wachezaji walipumzika.Mselemu Kandanda12/05/2022Kocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Ligi KuuAzam Fc wakubali yaishe waache wataalam wafanye kazi!Mselemu Kandanda12/05/2022Azam Fc imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara moja pekee tangu timu hii ipande daraja mwaka 2008,
Ligi KuuChama bai baii Simba!Mselemu Kandanda11/05/2022Chama anatarajia kukosa michezo karibia yote ya msimu huu.
UhamishoKibwana: Inawauma lakini nipo Yanga!Mselemu Kandanda11/05/2022Uwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.
Ligi KuuSimba na kisasi dhidi ya Hamis Kiiza!Mselemu Kandanda11/05/2022Tayari Kagera Sugar wamejinasibu kuendeleza palepale walipoishia katika mchezo wa mwisho baina yao